Kila Mara Nikiwa Karibu Kupata Ajira ya Serikali Majina Yangu Yalitupwa Kimyakimya, Mpaka Nyota Yangu Ilipofunguka

Kusoma kwa miaka mingi na kupata shahada ya chuo kikuu ni hatua inayokupa matumaini makubwa ya kupata ajira nzuri na kujenga maisha yako. Baada ya kumaliza masomo yangu miaka mitano iliyopita, nilianza harakati za kuomba kazi za serikali na kwenye taasisi kubwa.

Nilikuwa na sifa zote zilizohitajika, viwango vya juu vya taaluma, na uwezo mkubwa wa kujieleza. Hata hivyo, maisha yangu ya utafutaji yaligeuka kuwa mfululizo wa maumivu na kukata tamaa kulikoingia akilini.

​Kila mara nilipoomba kazi, nilipita kwenye usahili wa mchujo (interview) kwa alama za juu sana. Lakini ajabu ni kwamba, ilipofika hatua ya mwisho ya kutoa majina ya waliopata ajira, jina langu lilipotelea hewani au kutupwa kimyakimya!

Watu niliowazidi uwezo na alama walikuwa wakichukuliwa, huku mimi nikibaki mtaani nikichekwa na kusaidiwa chakula na wazazi wangu.

Nilifanya usahili zaidi ya mara kumi na tano katika miaka hiyo mitano, lakini kila mara nilibaki ukingoni mwa mafanikio. Nilibaki nikijiuliza ni kwanini elimu na juhudi zangu hazikuwa zikizaa matunda.SOMA ZAIDI.

Related Posts