Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • Sports News
  • TIMU ya Wanawake ya JKT Queens Yaifunga SIMBA na Kutwaa Kombe
Sports News

TIMU ya Wanawake ya JKT Queens Yaifunga SIMBA na Kutwaa Kombe

October 12, 2025October 12, 2025 Udaku Special

TIMU ya Wanawake ya JKT Queens imefanikiwa kutetea ubingwa wa Ngao ya Jamii 2025 kwa Wanawake kufuatia ushindi wa 2-1 dhidi ya Simba Queens kwenye fainali katika dimba la KMC Complex.

FT: JKT Queens 2-1 Simba Queens

⚽ 12’ Winfrida Gerald

⚽ 18’ Asha Omary (OG)

⚽ 90+4’ Zawadi Usanase

Kwenye mchezo wa mapema, Yanga Princes iliibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Mashujaa Queens kwenye mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu.

Related Posts

HABARI ZA SIASA Sports News

Taarifa Mpya Kutoka Bungeni Kuhusu Waziri Mkuu Mpya wa Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako
Sports News

Huyu Hapa Golikipa Mwenye Mafanikio zaidi Tanzania

November 12, 2025November 12, 2025 ajirayako

Post navigation

Previous: Nilikata Tamaa Baada ya Kupoteza Kila Bet, Lakini Siri Niliyotumia Ilinifanya Kushinda Jackpot 
Next: Donald Trump Atoswa Tuzo ya Nobel, Yaenda kwa Maria Corina Machado

Popular Posts

  • Mwijaku afunguka makubwa ugonjwa wa Mkubwa Fella! Amuomba Mwana FA kumsaidia Meneja wa Diamond

  • Ndugu wa Diamond Platinumz hawampendi Zuchu

  • Shabiki wa Congo Anayesimama Kama Sanamu Kuzawadiwa Milioni 40

  • Wachezaji Nigeria Watia Mgomo Kisa Kutolipwa Bonasi za Ushindi

  • Kamala Harris Amkosoa Vikali Donald Trump Kumkamata Rais wa Venezuela

  • Ahmed Ally na Barbara Gonzalez Kugombea Uenyekiti Simba

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.