“Yanga watapiga goti na kumshukuru Mungu kwa kuwapeleka hatua ya makundi ila watatakiwa kuomba zaidi Mzize apone haraka sana”
“Kuna muda Pacome anajiuliza hawa washambuliaji niwape nini ili wanipe assist. Naanza kuhisi Dube ni mshambuliaji wa kawaida sana ambae hana maamuzi sahihi”
“Chance after Chance ila Dube kuweka mpira kambani ni changamoto. Kwenye mechi kama hizi unatakiwa kuonyesha thamani yako ila Dube amegoma😄”
Je ni kweli Prince Dube ni mshambuliaji wa kawaida?????????

