MSIONE KIMYA, NILIKUWA NAKUSANYA TAARIFA ZOTE KUTOKA KWA JASUSI WETU โฆ AISEEE NIMEPATA FILE ZITO KWELI KWELI๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
Jasusi wetu ni zaidi ya CNN .. Imagine Leo kanitumia mpaka Sauti wachezaji wakikutakanana na Viongozi wao๐๐ฝ
LEO NIACHIWE MTANDAO TAFADHALI
Picha Linaanza jana usiku kwenye Group la viongozi wakubwa wa Bodi, Rais wa Heshima kawauliza viongozi, Kwanini mechi ya Mwisho Yanga waliocheza uwanja wa Mkapa Moshi mkubwa Mweusi ulionekana halafu ghafla wakatangaza kuhamia Zanzibar? Nini kilisababisha ule Moshi siku ile?
โRais wa Heshima kakasirika sana kaka, jana tafuta video uone aliondoka uwanjani mapema sana. Amewachana kuwa sasa hivi hii Timu huku ina viongozi wapigaji tu kwenye usajili Lakini hawana uchungu na Timu.. Hivi ninavyokwambia Hilo swali tangu jana mpaka muda huu halijajibiwa, Viongozi wengine wanapita tu kama wanaaga maitiโ
JASUSI ANAMWAGA UHONDO WAKUU ..๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
โKaka ngoja nikupe Ukweli ulivyo, Yule CEO inaonekana alipokea hela kwa mzamini wa Jezi ili adanganye kuwa Kanuni bado zinakataza kamari ili mzamini Mkuu atolewe.. Mzamini wa jezi kwa sababu mzigo umedoda sana stoo, akamseti CEO kuwa wako waislam watanunua hizi hizi jezi wakitoa kamari pale mbele, Itapush kidogo biashara
โSasa nyie mlivyoweka mdhamini wenu Mkuu ndio mambo Yametibuka. Hivi ninavyokwambia Mdhamini Mkuu wa huku kaandika barua kuwa HATOI TENA HELA ZA BONUS ZOTE ZA KIMKATABA mpaka apatiwe maelezo kwanini wao wamekosa kuonekana kwenye mashindano Makubwa
โWachezaji hao mnawaona hivyo wanadai Bonus ya mechi ya ugenini ya Kimataifa ile waloshinda nyingi na ya Ligi, ni kama wana kamgomo hivi.
โSasa nikuchekeshe, jana yule mwenyekiti wa Bodi na mahasira yake si kaenda vyumbani baada ya mechi kuwafokea wachezaji, Weeee Kala matusi ya nguoni mpaka kila mtu kaona aibu..โ
JASUSI HAPOI LEOOOO โฆ๐๐ฝ๐๐ฝ๐๐ฝ
