
Stephane Aziz Ki Afungua: “Ukiniuliza kilichonifurahisha zaidi, ni kuona Yanga ikitetea ubingwa wake. Lakini pia, kiwango cha Okello kimenikosha sana—ni mchezaji wa daraja la juu!
Nimependa jinsi anavyotumia mguu wa kushoto kama mimi; anafunga na kutengeneza nafasi za wazi. Viongozi na klabu yangu ya zamani walifanya kazi kubwa sana kuleta mchezaji mwenye kipaji kikubwa kisicho na shaka.”
