BREAKING: Wakili Alute Lissu Mughwai (Kaka wa Tundu Lissu) Afariki Dunia

Wakili Alute Mughwai Lissu, ambaye ni kaka wa Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo, Novemba 1, 2026.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na dada yake, Rose Masesa.

Akizungumzia chanzo cha kifo hicho, Rose amesema kwa sasa hawezi kutoa maelezo zaidi, huku akithibitisha kuwa msiba upo jijini Arusha na kwamba anaelekea huko.

“Ni taarifa za kweli, msiba upo Arusha na mimi naelekea huko,” amesema Rose kwa ufupi.

Related Posts