Unaambiwa Timu ya Yanga Wameingia KAMBINI rasmi Hii Leo Kwa Ajili ya Maandalizi ya Mchezo Wao wa DERBY Dhidi ya SIMBA SC Mchezo ambao wamekuwa wakisema hawataingia Uwanjani, Unaambiwa Na tayari Matajiri wa Yanga Wameshawalipa Wachezaji wao Mishahara Pamoja na Malimbikizo yao ya Nyuma ikiwemo Bonas kuwapa Motisha”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *