Chama Bado Anaweza Sana, Apite Njia Alizopitia Saido, Umri Sio Tatizo…
Anaandika ✍️ @cheyolutenganotz Ukisema kukosa namba kwa Chama Yanga kunatokana na umri wake kwenda nitakataa, kwa sababu kuna mastar kibao wenye umri sawa na yeye na bado wanakiwasha tu, Kama…