Msimamo Kundi la Simba Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025
Msimamo Kundi la Simba Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025 Huu Hapa Ni Msimamo Wa Kundi A La Simba Shirikisho 2024/2025 CAF Confederations Cup, Nafasi ya Simba kwenye Msimamo wa Mashindano…
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
Msimamo Kundi la Simba Kombe la Shirikisho CAF 2024/2025 Huu Hapa Ni Msimamo Wa Kundi A La Simba Shirikisho 2024/2025 CAF Confederations Cup, Nafasi ya Simba kwenye Msimamo wa Mashindano…
Msimamo wa kundi la Yanga CAF 2024/2025, Makala hii tutaangalia kwa kina nafasi ya yanga ligi ya mabingwa barani Africa CAF, Msimamo wa Kundi la Yanga club Bingwa. Msimamo wa…
WAKATI KenGold ikiendelea kuimarisha kikosi, macho na masikio ya wadau na mashabiki wa timu hiyo jijini Mbeya ni kuona staa kutoka Ghana, Bernard Morison akitua kwa wachimbaji hao wa madini.…
Chasambi wa Simba Alikoroga, Amtaja Mchezaji wa Yanga Max Nzengeli Kuwa Role Mode Wake Kauli yenye utata? Ndio haitazama vema katika akili za mashabiki wa Simba. Nadhani mashabiki wa Simba…
Klabu ya 🇪🇬Al Ahly inaongozwa kwa kucheza michezo mingi mwaka 2024 na kupata ushindi. Klabu hiyo imecheza michezo 40 na inafuatiwa na Yanga iliyocheza michezo 38. Orodha kamili; Al Ahly…
KIUNGO wa Azam FC, Feisal Salum amekata mzizi fitna kuhusu maneno yanayoendelea kusemwa kwamba huenda akatimikia Simba, akifunguka kuwa kama ataondoka anapocheza sasa basi hawezi kujiunga na timu yoyote Bongo…
WAKATI msimu mpya wa Ligi kuu ukianza Yanga ilikuwa ikipondwa kwamba imesajili wachezaji wazee Hata hivyo, ilianza na moto na kushinda mechi nane mfululizo, kidogo waliokuwa wakiibeza walitulia, hata hivyo…
Mbeya City vs Geita Gold. Kocha wa makipa wa klabu ya Gita Gold, Augustino Malindi amefungiwa michezo 16 (kumi na sita) na kutozwa faini ya Sh. 1,000,000 (milioni moja) kwa…
Simba aliingia kwenye mechi na mfumo wa 3-4-3. Kwa maana ya mabeki 3 nyuma, 4 kati, na juu 3. Mfumo ulionyumbulika kwenye 4-2-3-1 wakiwa na mpira, na 5-4-1 wakiwa hawana…
SERIKALI imesema inaangalia uwezakano wa kuwapa Simba na Yanga ndege moja kwa ajili ya kwenda nchini Algeria katika michezo yao ya Kimataifa ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa…
Wanasheria wa Sandland Wadai Fidia ya BIL 3 Kwa Ali Kamwe Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja…
Tabora United imezaliwa upya na hii ni kazi kubwa iliyofanywa na kocha mkuu @kiazmak raia wa Congo.Kocha huyu ni mtaalamu haswa.Katika vitu Tabora watakiwa wajivunie kwa sasa ni kuwa na…
Simba SC imetangaza rasmi kuachana na aliyekuwa CEO wao Francois Regis Raia wa Rwanda baada ya kudumu nae kwa muda wa siku 121. Simba haijaweka wazi sababu hasa za kuachana…
Golikipa wa Simba na raia wa Guinea Moussa Camara anaongoza anaongoza list ya Magolikipa wenye Cleansheet nyingi ndani ya NBCPL !.. Moussa Camara | Simba Michezo 11 | Cleansheet 09…
Kwa Mujibu wa Chanzo Kikubwa cha Habari za Michezo kutoka Nchini Zambia Kimethibitisha kuwa Kennedy Musonda anaelekea kukamilisha Uhamisho wake wa Mkopo wa kujiunga na klab ya Singida Black Stars,…
Muda wa wachezaji wa Yanga wanaopenda starehe kujitafakari Baadhi ya Wachezaji wa Yanga wanaopenda starehe kuanza kufikiria maisha mapya chini ya kocha Ramovic, Kocha huyu mpya amesema yeye katika muda…