Kocha Julio Kiwelu Atoboa SIRI ya Mbwana Samatta Kuandika Barua ya Kujiuzulu Taifa Stars
Kaimu Kocha Msaidizi wa Taifa Stars, Julio Kiwelu amesema Nahodha wa timu hiyo ambaye kwa sasa anaichezea Ligi Kuu ya Ugiriki, Mbwana Samatta aliandika barua ya kujiuzulu kuichezea Taifa Stars…