Wajue Kwa Undani Klabu ya Al Masry Waliopangwa na Simba Robo Fainali
Klabu ya Al Masry maarufu kwa jina la Tai wa kijani ‘Green Eagle’ 🦅 ilianzishwa Machi 18, 1920 ikiwa ni moja kati ya timu tano bora kwa taifa la Misri…
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
Klabu ya Al Masry maarufu kwa jina la Tai wa kijani ‘Green Eagle’ 🦅 ilianzishwa Machi 18, 1920 ikiwa ni moja kati ya timu tano bora kwa taifa la Misri…
KIKOSI Yanga Vs Kagera Sugar Leo Tarehe 01 February 2025 Young Africans itamenyana na Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Februari 1, mechi ikianza saa 16:00 kwa…
Tumu ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imeaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi kufuatia kipigo cha 2-0 dhidi ya Kenya ikiwa ni ni kipigo cha pili mfululizo baada ya…
Jemedari Acharuka KISA Simba Kuvunja Vitu, Atoa Kauli Nzito Kwa Viongozi
Kuelekea Mchezo wa kwanza hatua ya makundi CAF Champion League Yanga imempa Mshambuliaji wao Prince DUBE kuwa kama sehemu kubwa ya mchezo huu na kuamua kuita “DUBE DAY” Kutaka kuwaonyesha…
Kwa Mujibu wa Chanzo Kikubwa cha Habari za Michezo kutoka Nchini Zambia Kimethibitisha kuwa Kennedy Musonda anaelekea kukamilisha Uhamisho wake wa Mkopo wa kujiunga na klab ya Singida Black Stars,…
Hatimaye amekubali mazungumzo yakafanyike kwa uongozi wa timu yake baada ya kugomea kuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia Azam Fc ambao mkatataba wake unaisha mwakani uongozi wa Azam Fc ulikuwa kwenye…
Hizi Hapa Timu Sita Ambazo Tayari Zimefuzu AFCON 2025 Tanzania imejiweka njia panda katika mbio za kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2025 baada ya…
Wakati Kocha Mkuu wa Simba, Fadlu Davids, amesema malengo yake ni kumaliza kinara katika Kundi A kwenye mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika watani zao, Yanga wanawaza kutoa kichapo katika…
Klabu ya Yanga imesema kutokana na ubora wa kikosi ilichonacho pamoja na uzoefu, itavuka hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika na kwenda robo fainali kwenye Kundi A lililopangwa.…
Haya Hapa Magazeti ya Michezo Leo Tarehe 11 October 2024
BWANA SAMATTA AWATOA HOFU WATANZANIA “WALIOSEMA NIMEPOTEA NIMERUDI”
Klabu ya Olympique Marseille ipo kwenye mazungumzo chanya na nyota wa Juventus, Paul Pogba juu ya uwezekano wa kumsajili nyota huyo wa zamani wa Manchester United ambaye adhabu yake ya…
Wakati ya Uendeshaji na Usimamizi ya Ligi, ya Bodi ya Ligi Kuu Tanzania Bara (TPLB), imeipiga faini Klabu ya Coastal Union na kuionya Yanga kwa makosa ya kuchelewa kufika uwanjani.…
Mwamuzi Hance Mabena amefungiwa miezi mitatu kuchezesha ligi kuu ya NBC baada ya kutoa penati kwa TZ Prisons ambayo haikuwa Sahihi. TZ Prisons walicheza dhidi ya Fountain Gate na walifaidika…
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameitembelea kambi ya Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayofanya mazoezi kwenye uwanja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) jijini Dar es Salaam na kusema…