Kimoyo moyo Benchikha Anajuta Kukubali Kuja Kuifundisha Simba….
Kocha Bechikha Bechikha ni kocha wa makombe,kabla ya kuja Simba alipita kwenye timu (24) tofauti na huko alifanya balaa. Mfano akiwa Club Africain ya Tunisia alifanikiwa kuwapa ubingwa wa ligi…