Edo Kumwembe: Fabrice Ngoma Akiongea Wachezaji Wote wa Simba Wanapaswa Kukaa Kimya.Edo Kumwembe: Fabrice Ngoma Akiongea Wachezaji Wote wa Simba Wanapaswa Kukaa Kimya.

Edo Kumwembe: Fabrice Ngoma Akiongea Wachezaji Wote wa Simba Wanapaswa Kukaa Kimya.

Fabrice Ngoma akiongea wachezaji wote wa Simba wanapaswa kukaa kimya. Ni kiongozi, ana moyo, anaipigania timu. Hiyo clip inayotembea mitandaoni nadhani ni kiburi cha Camara tu.

Kule katika kibendera Camara alipaswa kufanya kitu rahisi tu. Kutoa mpira nje. Wenzake wajipange. Kabutua mpira ndani na lango lake likiwa wazi. Lingeweza kuwa bao rahisi kwa Berkane. Niko upande wa Ngoma. He is the leader na ana passion sana na timu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *