Kwa mujibu wa ‘Goal South Africa’ kiungo Mshambuliaji wa klabu ya Azam FC raia wa Tanzania 🇹🇿 visiwani Feisal Salum Abdallah, atawasili nchini RSA 🇿🇦 mwezi huu June kwa ajili ya kukamilisha makubaliano ya mwisho na klabu ya Kaizer Chiefs Ili ajiunge nao.

Viongozi wa Kaizer Chiefs walikuwepo nchini Tanzania wiki iliyopita na wamekamilisha makubaliano binafsi na mchezaji huyo.

Kama hili likitimia kweli basi atakuwa amekata mzizi wa fitina Kwa Timu za Azam, Yanga na Simba wanaopigania Kuwa nae

Source: [ Goal South Africa ]

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *