Fiston Mayele Mfungaji Bora Ligi ya MabingwaFiston Mayele Mfungaji Bora Ligi ya Mabingwa

Fiston Mayele Kiboko, Atwaa Kiatu Cha Pili cha Ufangaji Bora CAF

Mwamba Fiston Mayele anapata kiatu cha pili cha ufungaji Bora kwenye michuano ya CAF

Kiatu chake cha kwanza alikipata akiwa na Yanga SC ya Tanzania kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAFCC) akimaliza na magoli saba msimu wa 2023

Lakini mwaka huu 2025 Fiston Mayele ametwaa kiatu cha ufungaji Bora wa ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) akiwa na Pyramids FC akimaliza michuano hiyo na magoli 6 huku akitwaa Ubingwa wa CAF kwa mara ya kwanza

ALSO READ | Klabu ya Pyramids ya Misri imetwaa Kombe la Ligi ya Mabingwa Afrika, Mayele Atupia

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *