Hamza SimbaHamza Simba

Uongozi wa Simba Wamkingia Kifua Hamza, Hakujivunja Dhidi ya Berkane

Taarifa ZA Mtu wa ndani ya Simba “ Spear Hamza hakujivunja Mchezo wa kwanza dhidi ya RS Berkane ila hakuwa sawa na siku moja kabla ya mchezo hakufanikiwa kufanya mazoezi ila siku ya Mchezo Mwalimu Fadlu alimuuliza kama ameamka salama na anaweza kucheza kwasababu bado aliona che Malone hana utimamu wa asilimia 💯 na hapo ilimlazimu Hamza kuanza katika ule mchezo na ndani ya dakika 20 za mwanzo tu aliumia na kutolewa nje.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *