Hizi Hapa Timu Sita Ambazo Tayari Zimefuzu AFCON 2025

Hizi Hapa Timu Sita Ambazo Tayari Zimefuzu AFCON 2025 

Tanzania imejiweka njia panda katika mbio za kuwania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika, AFCON 2025 baada ya kuchapwa mabao 2-0 na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC katika mchezo wa Kundi H Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam Jana Jumanne.

TIMU ZILIZOFUZU AFCON HADI SASA

  1. Morocco πŸ‡²πŸ‡¦
  2. Burkina Faso πŸ‡§πŸ‡«
  3. Cameroon πŸ‡¨πŸ‡²
  4. Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ
  5. DR Congo πŸ‡¨πŸ‡©
  6. Senegal πŸ‡ΈπŸ‡³

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *