βKΔ±la kitu leo kilikwenda vibaya,tumepata jeraha dakika ya nane,Musonda amepoteza nafasi ya wazi,tumepoteza penati wao wamefunga,wameshambulia mara mbili wakafunga,sisi tumeshambulia x20 hatukufunga,siwezi kupeleka lawama kwa Wachezaji wangu,lawama zote nabeba mimiβ
Gamond

