Marioo amuwashia moto Nadia Mukami kutoka Kenya “hataki kuchafuliwa” Amtaka aseme ukweli

 
Marioo amuwashia moto Nadia Mukami kutoka Kenya “hataki kuchafuliwa” Amtaka aseme ukweli

Mwanamuziki @marioo_tz kupitia ukurasa wake wa Instagram, Amemtaka mwanamuziki kutoka nchini Kenya @nadia_mukami aweze kuweka wazi haswa ni msanii gani kutoka nchini Tanzania ambae alimsumbua wakati alipotaka kufanya nae kazi.

Kwasasabu mwanamuziki Nadia Mukami kupitia interview yake aliyofanya hivi karibuni. Ameeleza kuwa yupo msanii kutoka nchini Tanzania ambae alimsumbua sana wakati ambao walikuwa wanahitajika kufanya kazi wote pamoja. Na pia Nadia Mukami alikuwa tayari kashafika nchini na jopo lake zima kwajili ya kukamilisha kazi hiyo. Baadhi ya watu wamekuwa wakishutumu huenda msanii huyo atakuwa ni Marioo. Jambo ambalo halina ukweli kwani Marioo ameeleza kuwa alijitoa 100% kwwenye kazi ya Nadia Mukami mwaka 2020.

Related Posts