Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA MICHEZO
  • Mchezaji Steven Mukwala Aanza Kibarua Kipya Libya Kwa Spidi ya 6G
HABARI ZA MICHEZO

Mchezaji Steven Mukwala Aanza Kibarua Kipya Libya Kwa Spidi ya 6G

March 17, 2026 Udaku Special

Taarifa kutoka nchini Libya ni kwamba Steven Desse Mukwala anakiwasha kweli kweli, ameanza vizuri akiwa na waajiri wake wapya Al Nasser akiwa amecheza mechi nne mpaka sasa na kufunga magoli matatu.

Mshambuliaji huyo raia wa Uganda, amejiunga na miamba hiyo ya Libya, akitokea klabu ya Simba Sc katika dirisha dogo la usajili.

Steven Mukwala, ambaye ni mshambuliaji mahiri na mwenye kipaji kikubwa cha kusakata boli anazidi kuonyesha ubora wake siku hadi siku.

Related Posts

HABARI ZA MICHEZO

Shaffih Dauda Amtetea Doumbia ‘Anahitaji Subira, Siyo Presha’

September 14, 2026 Udaku Special
HABARI ZA MICHEZO

Mkiisifia Simba, Kumbukeni Singida Black Imemla Mtu Kichwa Mabao 10 – 1

September 14, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Kocha Rhulani Mokwena Akamatwa Airport Algiers, Atupiwa Kesi Hii
Next: IRAN yasisitiza Kuwa Haitasalimu Amri Kamwe Kwa Marekani na Israel

Popular Posts

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Kutana na Mtabibu Mwenye KUBRI kutoka kwa ALLAH shariff majini Mtabibu wa Nyota za Binadamu na Dawa za Asili

  • Hawa Hapa Majambazi Wenye AKILI Nyingi zaidi Kuwahi Kutokea Duniani

  • Manqoba Atoa Maagizo Mazito Yanga Dhidi ya Gaborone United

  • Watu Wanne Wafariki Kwenye Ajali ya Basi la Abood na IST Bunju

  • Nani Kuondoka na Ushindi Leo?

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.