Msando Vs GwajimaMsando Vs Gwajima

Msando Amchana Gwajima “Gwajima Si Unasimamia HAKI Basi Jitokeze”

“Kazi ya Jeshi la Polisi ni kusimamia maelekezo yanayotolewa na kulinda amani na utulivu. Sasa kama Yeye Askofu Josephat Gwajima, alikuwa anadhani kwamba amri ile sio halali au kile kilichofanyika sio halali kwanini ametoroka na kukimbia? Si unasimamia haki? Si unadhani umeonewa? Kwanini haujitokezi?

Mimi sijamuona, nilichokiona ni Kipande cha Video tu kinasambazwa mtandaoni kikimuonesha akiwa chumbani anasema tupo hapa tumevamiwa. Na nani sasa? Kama unajua waliokuja ni Polisi, wewe unaogopa Polisi? Jitokeze sasa ili tukusikie na sisi tukupe majibu yako”- Albert Msando, Mkuu wa Wilaya ya Ubungo akizungumza na Wanahabari.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *