Huu utatu anaitendea haki โHeavy metal footballโ ya Ramovic
Huu utatu una kasi,ujuzi,uthubutu,nguvu ya kukimbia na kufanya pressing kisha unafunga na ku-assist
Huu utatu umegeuka shubiri kwa wapinzani
Kwenye mechi 5 za mwisho za Yanga huu utatu amefunga goli 14 kati ya 19 zilizofungwa na timu nzima
Halafu unaambiwa Maxi na Chama wamerejeaโฆ.unaanza kujiuliza nani atakaa benchi kumpisha mwenzake๐ซข
Ukisikia maana halisi ya kikosi kipana basi ndio hii

