Tumu ya Taifa ya Tanzania Bara βKilimanjaro Starsβ imeaga mashindano ya Kombe la Mapinduzi kufuatia kipigo cha 2-0 dhidi ya Kenya ikiwa ni ni kipigo cha pili mfululizo baada ya kuanza kwa kipigo cha 1-0 dhidi ya Zanzibar Heroes.
Hata hivyo Kilimanjaro Stars licha ya shughuli Yao kuishika hapa bado wana mchezo mmoja wa kukamilisha ratiba, dhidi ya Burkina Faso.
FT: TANZANIA πΉπΏ 0-2 π°πͺ KENYA
β½ 56β Boniface Muchiri
β½ 68β Ryan Ogam

