Simba Yaitupa Nje Mbeya City na Kutinga Nusu Fainali CRDB Cup

 Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wameisukumiza Mbeya City nje ya michuano ya kombe la Shirikisho la CRDB (FA Cup) na kutinga nusu fainali kufuatia ushindi wa 3-1 katika dimba KMC Complex, Mwenge Dar es Salaam.

FT: Simba Sc 3-1 Mbeya City

⚽ 24’ Ngoma

⚽ 30’ Ateba

⚽ 43’ Mutale

⚽ 22’ Mudathir

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *