
Mabingwa mara nne wa michuano ya Kombe la Dunia la FIFA, Ujerumani wameitolea uvivu Curacao baada ya kuishindilia jumla ya magoli 7-1 kwenye mchezo wa Kundi E wa michuano hiyo.
Ujerumani imepata ushindi huo mkubwa zaidi kwenye michuano ya Kombe la Dunia 2026 mpaka sasa mchezo uliopigwa katika dimba la NRG Houston, Texas.
FT: Germany π©πͺ 7-1 π¨πΌ Curacao
β½ 06β Nmecha
β½ 38β Schlotterbeck
β½ 45+5β Havertz (P)
β½ 47β Musiala
β½ 68β Brown
β½ 78β Undav
β½ 88β Havertz
