Edo Kumwembe: Nilimsifia Chasambi ila Nimeangukia Pua
Edo Kumwembe: Nilimsifia Chasambi ila Nimeangukia Pua Nilijigamba sana mwanzoni mwa msimu kwamba huenda Ladaki Chasambi na Edwin Balua wangekuwa moto katika safu ya ushambuliaji ya Simba. Kumbe nilikuwa najidanganya…