Yanga Wagoma Kucheza Fainali CRDB Hadi Walipwe Pesa zao
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe kwenye mkutano wake na waandishi wa Habari uliofanyika leo Juni 9, 2025 katika makao makuu ya klabu hiyo amesema kuwa klabu hiyo…
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ali Kamwe kwenye mkutano wake na waandishi wa Habari uliofanyika leo Juni 9, 2025 katika makao makuu ya klabu hiyo amesema kuwa klabu hiyo…
Ahmed Ally adai Yanga “wana dema dema” Wamekalia kaa la moto
Yanga SC wanaimba hawachezi. Wimbo wao umekwenda mbali kidogo na matumaini ya Mchezo wa Derby yameanza kuwa madogo. Nini wanachopaswa kufanya Simba SC katika kipindi hiki cha Hatuchezi ng’oo? Wajiandae…
Yanga Yakataliwa na Mahakama Sakata la Dabi, Wapeleke tu Timu Uwanjani… “Katika hatua inayoonekana kama muendelezo wa kushindwa kwa klabu ya Yanga kwenye vita yake ya kupinga maamuzi yaliyofanywa na…
Dkt. Samwel John Marwa, daktari na mwanachama halali wa Young Africans SC mwenye kadi namba TZIRI03003030 alifungua maombi chini ya hati ya dharura akiomba kibali cha kufungua shauri la mapitio…
WAKATI joto la pambano la Dabi ya Kariakoo likiendelea kupanda kwa mashabiki wa soka nchini, Kocha wa Yanga, Miloud Hamdi amevunja ukimya na kuweka bayana kwamba kwa sasa anaendelea kuwaandaa…
Yanga Wasipocheza, Simba Bingwa 24/25 Kufuatia Yanga kushikilia msimamo wa kutocheza mechi hiyo ya dabi, inaweza kuwa nafasi kubwa kwa Simba kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu msimu huu..Yanga inabanwa na…
Msimamo wa Yanga Upo Pale Pale Hawachezi, Sababu Zawekwa Wazi..Hawashawishiki Licha ya Jitihada kubwa zinazofanywa na viongozi wa TFF na Bodi ya ligi ili kuonana na Uongozi wa klab ya…
Unaambiwa Timu ya Yanga Wameingia KAMBINI rasmi Hii Leo Kwa Ajili ya Maandalizi ya Mchezo Wao wa DERBY Dhidi ya SIMBA SC Mchezo ambao wamekuwa wakisema hawataingia Uwanjani, Unaambiwa Na…
Klabu ya Yanga ndiyo timu bora kwasasa kwenye ukanda wa Afrika mashariki na kati. Yanga ndiyo vinara wa NBCPL hadi hivi sasa. Wapo fainali ya michuano ya CRDB FC wanakutana…
TETESI Klabu ya Kaizer chiefs Inataka kutumia uhusiano wao mzuri na klabu ya Young Africans sc ili kumpata Djigui Diarra. Kaizer chiefs wanatumia uhusiano huo kuwashawishi Young Africans ili wamuachie…
Dau la kuvutia walilopata baada ya kuondoka kwa Stephane Aziz Kl Yanga, kumeifanya klabu hiyo mapema kuingia sokoni kumsaka mbaadala wake ambapo hadi sasa ina majina ya wachezaji wawili walio…
Diarra Awavimbia Viongozi wa Yanga, Wenyewe Wagawanyika… Kipa wa Yanga SC Diarra ana hesabu za kutaka kuachana na klabu hiyo akishinikiza imuuze, lakini maombi yake yamewagawa mabosi wa juu. Diarra…
Pacome Zouzoua ni Kiungo Mwenye Uwezo Mkubwa wa Kufikiri Uwanjani JKT Tanzania imekwama katika mbio za kusaka tiketi ya michuano ya CAF baada ya kufungwa mabao 2-0 na Yanga SC…
Feisal Salum Anarejea Yanga Kama Mbadala wa Aziz K Inaripotiwa kuwa Feisal Salum amekubali kurejea klabu ya Yanga kama mbadala wa Aziz Ki ambaye anatimkia Wydad Casablanca suala hili linakuja…