Julius Malema Afunguka: Wazee Wamekutana Washington Kunisema
Kiongozi wa Chama cha Economic Freedom Fighters (EFF) na Mbunge wa Bunge la Afrika Kusini Julius Malema, amesema kundi la Wazee (akimlenga Rais Trump na Ramaphosa) wamekutana Washington nchini Marekani…