Wydad Imewatambulisha Nyota Watatu Wapya, Aziz K Ndani
KLABU ya Wydad imewatambulisha nyota watatu wapya, akiwamo aliyekuwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Stephane Aziz Ki waliojiunga na timu hiyo inayojiandaa na Michuano ya Kombe la Dunia kwa Klabu 2025…