Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA SIASA
  • Tume ya Uchunguzi Kuwasilisha Ripoti Yake April 23
HABARI ZA SIASA

Tume ya Uchunguzi Kuwasilisha Ripoti Yake April 23

April 22, 2026 Udaku Special
Jaji Chande Aulizwa Maswali Magumu na Wahariri wa Vyombo vya Habari Kuhusu Tume ya Uchunguzi
 

Tume ya Uchunguzi ya matukio ya Oktoba 29 inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake tarehe 23 mwezi huu (Alhamisi) kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Tume hiyo, Jaji Othman Chande, wakati akizungumza na waandishi wa habari leo katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam.

Tume hiyo imesema ripoti hiyo itakuwa msingi muhimu wa kutoa mwelekeo kuhusu matukio hayo.

Related Posts

HABARI ZA SIASA

Waziri Makonda Kuzungumza na Waandishi wa Habari Kesho

September 23, 2026 Udaku Special
HABARI ZA SIASA

Msukuma awaonya matajiri wa Katoro wanaorusha fedha

September 16, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: Simba Yashuka CAF, Yanga Yapanda Viwango Afrika
Next: Jinsi Dereva wa Boda Boda Kutoka Moshi Alivyovunja Laana ya Muda Mrefu ya Familia Ambayo Ilikuwa Imewazuia Kwa Vizazi Vingi.

Popular Posts

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Hizi Hapa Faida Kubwa za Bamia Mwilini mwa Binadamu

  • Kwa Nini Marubani wa Ndege Hula Chakula Tofauti Wanapokuwa Safarini?

  • BASATA Yawashusha Rungu Harmonize, Nandy, Sanga na Waandaaji wa Matukio

  • Paul Makonda Afunguka Kuhusu Dudu Baya na Kauli zake za “You Better Watch Your Back”.

  • Zitto Kabwe Achafukwa “Mnajadili Kuhusu Jezi Mnaisahau Taifa Stars, Ndio Maana Mmefungwa”

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.