“Nimeandika na kufuta mara nyingi leo, ila, ‘napendekeza’ siku nyingine bingwa awe anateuliwa tu na CAF tusipotezeane muda.” – Hamis Mwinjuma, Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo baada ya mchezo wa Simba SC dhidi ya RS Berkane

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *