AHMED ALLY AMJIA JUU ALI KAMWE…ACHENI KULALAMIKA
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba Ahmed Ally ameshangazwa na kauli ya Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe, kuhusu mafanikio ya Simba kwa msimu huu. Jana Simba…
Habari Mbali Mbali za Udaku, Michezo na Siasa Kutoka Tanzania
MENEJA wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Simba Ahmed Ally ameshangazwa na kauli ya Afisa Habari wa Yanga Ali Kamwe, kuhusu mafanikio ya Simba kwa msimu huu. Jana Simba…
Bao la penalti ya utata lililofungwa na kiungo mshambuliaji, Charles Ahoua dakika ya 63, limetosha kuipa Simba pointi tatu muhimu mbele ya Dodoma Jiji katika pambano la Ligi Kuu Bara…
Ahmed Ally na Ally Kamwe Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally ameweka wazi kuwa bado kiwango cha Simba hakijafikia asilimia 100% inayotafutwa na Kocha Fadlu Davids.…
Kuna burudani fulani huwa inatokea Kiungo wa Boli Kapteni Kucho Awesu Awesu akiwa na mpira mguuni. Awesu Ali Awesu huwa analainisha sana mambo, simple tu mali inamtii ,anaweka moja njiani…
AZIZ KI NA CHAMA HAWAWEZI KUCHEZA PAMOJA/ KOCHA GAMONDI ANAWAKOSEA SANA
Amri Kiemba PENATI YA SIMBA ILIKUWA YA HALALI, HOZI ALITUMUA NGUVU NYINGI DHIDI YA ZIMBWE Tafsiri ya Amri Kiemba kwenye tukio la Nahodha wa Dodoma Jiji Salmin Hoza kumfanyia faulo…
Alex Ngereza vs Pacome ALEX NGEREZA: KUNA VILE PACOME AMEANZA KUCHUJA…. Mchambuzi wa michezo wa TV3 Alex Ngereza ameandika chapisho katika kurasa yake ya Instagram na kugusia suala la mchezaji…
Game kati ya Yanga na KMC imemalizika usiku huu huku Yanga wakiondoka na ushindi wa bao moja lililopachikwa na Maxi Nzengeli, Rais wa Yanga Eng. Hersi Said leo ameonekana akiwa…
Haji Manara ameoneshwa kuchukizwa na taarifa iliyokuwa inasambaa kwenye mitandao ya kijamii, ikimhusisha yeye kuzungumza na aliyewahi kuwa mchezaji wa Yanga na sasa ana kipiga na AZam FC, Feisal Salum…
Samuel Etoo Samuel Etoo amesema Mataifa yenye Nguvu kisoka ngazi ya Vilabu kama Tanzania yanapaswa kuwa na timu 4 Kwenye michuano ya Ligi ya mabingwa Afrrika (CAFCL) na Kombe la…
Young Africans inacheza na Kinondoni MC kwenye Ligi Kuu Bara ya Tanzania mnamo Septemba 29. Mechi hiyo itaanza saa 21:00 kwa saa za kwenu. Young Africans (pia inajulikana kama Yanga…
KIKOSI CHA YANGA Vs KMC LEO KIKOSI CHA YANGA Vs KMC LEO TAREHE 29 SEPTEMBER 2024 Young Africans inacheza na Kinondoni MC kwenye Ligi Kuu Bara ya Tanzania mnamo Septemba…
MATOKEO YA SIMA Vs DODOMA JIJO LEO MATOKEO YA SIMA Vs DODOMA JIJO LEO TEREHE 29 SEPTEMBER 2024 Dodoma Jiji inacheza na Simba kwenye Ligi Kuu Bara ya Tanzania Septemba…
KIKOSI CHA SIMBA Vs DODOMA JIJI LEO 29 SEPTEMBER 2024 Dodoma Jiji inacheza na Simba kwenye Ligi Kuu Bara ya Tanzania Septemba 29. Mechi hiyo ilianza saa 18:30 kwa saa…
MBWANA SAMATTA KUMFUATA SIMON MSUVA SAUDIA Nyota wa kimataifa wa Tanzania anayecheza soka la kulipwa katika timu ya PAOK ya Ugiriki, Mbwana Samatta ‘Popat’ inaelezwa anajiandaa kumfuata Simon Msuva anayecheza…
KOCHA GAMONDI AWAWEKA KIKAO MZIZE NA DUBE, Yanga ilipata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya vibonde wa Ligi Kuu Bara, KenGold, kitu ambacho kimemfanya Kocha Miguel Gamondi ajiulize mara…