Golikipa wa Simba na Raia wa Guinea Camara Anaongoza Kwa Clean Sheet
Golikipa wa Simba na raia wa Guinea Moussa Camara anaongoza anaongoza list ya Magolikipa wenye Cleansheet nyingi ndani ya NBCPL !.. Moussa Camara | Simba Michezo 11 | Cleansheet 09…