HABARI ZA UDAKU Afungwa Miezi 6 kwa Tuhuma za Kuzusha Kuibiwa Nyeti Mkoani Geita April 11, 2026 Udaku Special Kijana Mmoja aliyefahamika kwa Jina la Abdulaziz Kabangila (31) Mkazi wa Mwatulole Mkoani Geita, aliyefikishwa Mahakama ya Mwanzo Nyankumu, amehukumiwa kwenda Jera kutumikia kifungo cha Miezi 6 kwa tuhuma za kuzusha kuibiwa Nyeti. Akizungumza na vyombo vya Habari Kamanda wa Poisi Mkoa wa Geita , SACP. Safia Jongo amesema Mnamo Aprili 6 , 2026 majira ya saa Moja usiku katika eneo la starehe Kijana Abdulaziz alizua taharuki kwa madai kuwa amepoteza nguvu au maumbile yake ya siri baada ya kuguswa Bega na Mlalamikaji Vedastus Magogo lakini haikuwa na ukweli Related Posts HABARI ZA UDAKU Wizara ya Elimu Yatangaza Waliochaguliwa Samia Scholarship 2026/2027 July 28, 2026 Udaku Special HABARI ZA UDAKU Zuchu ameandika barua ya kuvunja mkataba WCB! Hataki kurudi nyuma, Mwijaku atoa siri hii nzito July 28, 2026 Udaku Special