
Allan Okello ametangazwa kuwa nyota wa mchezo kati ya Young Africans dhidi ya Wauaji wa Kusini, Namungo FC katika dimba la KMC Complex akiiandikia Wananchi mabao mawili kwenye ushindi wa 3-1.
Nyota huyo raia wa Uganda amefikisha mchango wa magoli 18 mpaka sasa kwenye Ligi kuu ya soka ya NBC Tanzania bara akifunga mabao 11 na kutoa asisti 7 tangu atue klabuni hapo Januari, 2026.
FT: Yanga SC 3-1 Namungo FC
β½ 26β Abuya
β½ 52β Okello
β½ 85β Okello
β½ 40β Kabunda
MSIMAMO NBCPL π2οΈβ£
1. Yanga SC β mechi 25 β pointi 60
2. Simba SC β mechi 25 β pointi 58
