
Mabingwa watetezi michuano ya Kombe la Dunia, Argentina wamepindua meza kibabe sana dhidi ya mafarao, Misri wakitoka nyuma 2-0 na kushinda 3-2, βcomebackβ iliyoanzia dakika ya 79 ya mchezo.
Ushindi huo umehitimisha safari ya mafarao kwenye Kombe la Dunia 2026 huku Argentina ikitinga hatua ya robo fainali ambapo itakutana na mshindi wa mchezo mwingine wa hatua ya 16 bora kati ya Uswisi dhidi ya Colombia.
FT: Argentina π¦π· 3-2 πͺπ¬ Misri
β 21β Messi
β½ 79β Romero
β½ 84β Messi
β½ 90+2β Enzo
β½ 15β lbrahim
β½ 68β Ziko
