Skip to content
UDAKU SPECIAL

UDAKU SPECIAL

Habari za Udaku, Michezo na Siasa

  • Home
  • Gossip News
  • Sports News
  • Political News
  • Articles
  • Love Affairs
  • Music
  • Health
  • Contact us
  • Home
  • HABARI ZA SIASA
  • CCM Wamteua Baba Levo Kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini
HABARI ZA SIASA

CCM Wamteua Baba Levo Kugombea Ubunge Jimbo la Kigoma Mjini

August 23, 2025August 23, 2025 Udaku Special

Kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa kimemteua Clayton Chiponda ‘Babalevo’ kuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya chama hicho katika Jimbo la Kigoma Mjini mkoani Kigoma.

Hayo yamesemwa na Katibu wa Halmashauri Kuu (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CPA Amos Makalla, akizungumza na wanahabari usiku wa Jumamosi Agosti 23, 2025 katika Makao Makuu ya CCM Dodoma.

Related Posts

HABARI ZA SIASA

IRAN wadukua Barua Pepe ya Mkuu wa FBI, wachapisha picha na taarifa binafsi

March 28, 2026 Udaku Special
HABARI ZA SIASA

DJ SMA: Trump Anachanganyikiwa, Ameingizwa Kwenye Vita Bila Kujua, Kwa Sasa Anahaha

March 27, 2026 Udaku Special

Post navigation

Previous: CCM Yamrudisha Ester Bulaya Kugombea Ubunge Jimbo la Bunda Mjini
Next: Esther Matiko Ateuliwa na CCM Kugombea Ubunge Tarime Mjini

Popular Posts

  • Mbinu Nzuri Ya Kutongoza Kwa Wale Wanaoanza Kujifunza

  • Kazi ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke

  • Hii Hapa Faida ya Makalio Makubwa Kwa Mwanamke

  • Wachezaji Wa Simba SC Walioitwa Timu Zao Za Taifa

  • Basata Wamfungia Miaka Mitatu Mwanamuziki Halima wa Kibao Kata

  • TANZIA: Waziri William Lukuvi Afariki Dunia

All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.