Nature

Hii Hapa Timu ya Kwanza Kutoka Afrika Kufuzu Kombe la Dunia 2026

Timu ya Taifa ya Morocco imekuwa timu ya kwanza kutoka Afrika kukata tiketi ya kushiriki kombe la Dunia la FIFA 2026 kufuatia ushindi wa 5-0 dhidi ya Niger.

Morocco itashiriki michuano hiyo kwa mara ya 7 baada ya kufanya hivyowaka 1970, 1986, 1994, 1998, 2018, 2022 na 2026

FT: Morocco 🇲🇦 5-0 🇳🇪 Niger
⚽ 29’ 38’ Saibari
⚽ 51’ El Kaabi
⚽ 69’ Igamane
⚽ 85’ Ounahi

MATOKEO MENGINE #WCQ2026 AFRIKA
Egypt 🇪🇬 2-0 🇪🇹 Ethiopia
Senegal 🇸🇳 2-0 🇸🇩 Sudan
Ivory Coast 🇨🇮 1-0 🇧🇮 Burundi
Mauritania 🇲🇷 2-0 🇹🇬 Togo

Related Posts