Aziz K Ashinda Tuzo ya Kiungo Bora Ligi Kuu Bara

Kiungo Mshambuliaji wa Yanga Stephane Aziz Ki Raia wa Burkinafasso ameshinda tuzo ya Kiungo bora wa mwaka wa Ligi Kuu kwa kuwashinda Feisal Salum na Kipe Junior wote wa Azam FC.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *