Bodi ya Filamu Yawapa Wito Mastaa ‘A-List’ Kufika Ofisini Septemba 7, 2026

 Mastaa 'A-List'
Mastaa A List

Bodi ya Filamu Yawapa Wito Mastaa ‘A-List’ Kufika Ofisini Septemba 7, 2026

Bodi ya Filamu Tanzania, iliyo chini ya Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo, imetoa wito rasmi kwa waigizaji wakubwa wa Bongo Movie—Irene Uwoya, Aunty Ezekiel, Frida Kajala, na Jacqueline Wolper—kufika katika ofisi zake siku ya Jumatatu, Septemba 7, 2026, saa 9:00 kamili mchana.

Hata hivyo, taarifa hiyo iliyotolewa na Bodi haijafafanua kwa kina sababu kuu za kuitwa kwa mastaa hao wa viwango vya ‘A-List’. Wasanii hao wametakiwa kuzingatia muda na kufika katika ofisi za bodi kama ilivyoelekezwa, huku undani wa kikao hicho ukitazamiwa kuwekwa wazi mara baada ya kukutana kwa pande zote mbili.

ALSO READ | Yanga Yaondoka Botswana na Sare, Mwalimu Aokoa Jahazi Dakika za Mwisho

Related Posts

One thought on “Bodi ya Filamu Yawapa Wito Mastaa ‘A-List’ Kufika Ofisini Septemba 7, 2026

Comments are closed.