Hatimaye Msuva, Kapombe Warejeshwa Taifa Stars
Kocha Mkuu timu ya taifa “Taifa Stars’ Hemed Suleiman ametangaza kikosi cha wachezaji 26 watakaoingia kambini kujiandaa na michezo miwili kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON 2025) dhidi ya Ethiopia…