Msemaji wa Vital'O: Rais Samia na Sisi Tupatie Milioni 5 Kila bao
Msemaji wa timu ya Vital’O Fc, Arsene Bucuti amemuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kuwapa Tsh milioni tano kama zawadi kwa kila bao iwapo watamfunga Yanga kwenye mchezo wao…