Shirika la Reli Tanzania Lakanusha UJENZI wa SGR Kusimama
Shirika la Reli Tanzania limewataka wananchi kutupilia mbali upotoshaji wa makusud i unaofanywa na baadhi ya watu kuwa mradi wa SGR umesimama na kwamba tayari Shirika limeshapata mkandarasi wa ujenzi…