Ameandika haya Mchambuzi wa Michezo Hans Rafael:
Matokeo ya leo yanaifanya derby ya tarehe 19 kuwa ngumu sana,kama Simba wanahitaji chochote kitu msimu huu basi wanatakiwa kushinda mechi hiyoβ¦.lakini kama watakubali kupoteza basi watajikuta nyuma ya Yanga pointi 5 (kama Yanga watashinda kiporo).
Mnaweza kusema bado mapema ila mechi ya tarehe 19 imebe ba hatima ya msimu mzimaβ¦..Yanga wakikuacha alama 5 siyo rahisi kuwapata tena.

