Mnyama Simba Sc amekubali kichapo cha 2-0 dhidi ya RS Berkane kwenye mchezo wa mkondo wa kwanza wa fainali ya kombe la Shirikisho Afrika katika dimba la Manispaa ya Berkane huko Morocco.
Mchezo wa marudiano utakaopigwa Mei 25, 2025 Simba Sc akiwa mwenyeji hapa Tanzania utaamua timu itakayobeba ubingwa wa kombe la Shirikisho Afrika 2024/2025
FT: RS Berkane 🇲🇦 2-0 🇹🇿 Simba Sc
⚽ 08’ Camara
⚽ 14’ Lamlioui