Simba SC Yagonga Mwamba CECAFA Kagame Cup: Yaambulia Sare Nyingine Tasa Dhidi ya Jamus SC

Mabingwa watetezi na wawakilishi wa Tanzania, Simba SC (Wekundu wa Msimbazi), wameendelea kuwa na wakati mgumu katika michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (CECAFA Kagame Cup) baada ya kulazimishwa sare ya 0-0 dhidi ya Jamus SC ya Sudan Kusini.

Mchezo huo wa Kundi B uliopigwa katika Uwanja wa Kigali Pele nchini Rwanda, unafanya Simba SC kucheza zaidi ya dakika 180 bila kuona lango la mpinzani kwenye michuano hiyo. Hii ni sare ya pili mfululizo kwa Wekundu hao, ikifuatia ile ya kwanza dhidi ya Mogadishu City Club.

Akaunti ya Mchezo: FT: Simba SC 🇹🇿 0-0 🇸🇸 Jamus SC

Related Posts