Singida Black Stars Yapata Ushindi Mnono CECAFA Kagame Cup 2026

Singida Black Stars Yapata Ushindi Mnono CECAFA Kagame Cup 2026

Klabu ya Singida Black Stars ya Tanzania imeonyesha ubabe baada ya kuichapa Mogadishu City Club ya Somalia mabao 4-1 katika mchezo wa Kundi B wa michuano ya Kombe la Kagame (CECAFA Kagame Cup 2026) uliopigwa katika Dimba la Kigali Pele nchini Rwanda.

Singida Black Stars ilianza kwa kasi kipindi cha kwanza na kupata mabao yake kupitia kwa Victorien Adebayor / Bangoura (dakika ya 10), Joseph Guede / Henry (dakika ya 14 na 44), pamoja na Marouf Tchakei / Tegisi (dakika ya 15 na 52), huku Mogadishu City wakipata bao lao la kufutia machozi kwenye dakika hizo za mchezo.

Matokeo ya Mwisho: FT: Mogadishu City πŸ‡ΈπŸ‡΄ 1-4 πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Singida Black Stars

Related Posts