Simba Vs RS BerkaneSimba Vs RS Berkane

Siioni Simba Ikichukua KOMBE la CAF Wala Kufanya Comeback Hapa Bongo

Niko hapa kuzungumzia Hatma Ya Simba Kwenye Fainal Ya Mwisho Ya CAF dhidi Ya Berkane ,Nafasi Ya Mnyama Kutoboa ni hafifu sana Nimetazama Mchezo uliopita mara zaidi Ya nne na kugundua Kuwa Simba akitaka Kuchukua Kombe inabidi Acheze kikubwa kikubwa zaidi Quality Ya Wachezaji wa Berkane Ni Kubwa sana kulinganisha na Wachezaji wa simba Na hili lilidhihirishwa Kule Morocco .Kuna watu wengi husema kuwa simba alipigwa na Al masry Goli na akaja akafuzu guys Tuliona Mchezo kati Ya simba na Al masry na tukaona mchezo kati ya simba na berkane Yes simba alipoteza goli 2 dhidi Ya Al masry lakini game ilikuwa 50 50 kama sio 60 kwa simba 40 kwa Al masry ila game ya juzi ilikuwa ji 70 kwa 30 Simba alicheza chini Ya kiwango sana .! Na Huwenda kulikuwa ni kiwango chake ila walikutana na watu wenye uwezo wa Hali Ya juu sana .

NB: Mpira nowdays sio mazingaombwe tena kama we ni mbovu hata kwenu utapigwa Tu Mpira ni mchezo wa wazi sana kama berkane atakuja atafunguka pale Zanzibar basi naona Simba alichezea kichapo Nyumbani .

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *