Ahmed Ally Arusha Dongo Yanga: Msipotangaza Uwanja wa Mechi, Bodi ya Ligi Itatangaza
Msemaji wa klabu ya Simba Ahmed ally kupitia ukurasa wake wa instragram ameandika “Msipotangaza Uwanja wa mechi, Bodi ya Ligi itatangaza Msipotangaza Viingilio, Bodi ya Ligi itatangaza na sisi tutanunua…