Kijana Aliyelelewa na Nyani Porini Yuko Dar Akipambania Maisha
Kijana Aliyelelewa na Nyani Porini Yuko Dar Akipambania Maisha KATIKA mitaa ya Segerea jijini Dar es Salaam, kijana Baraka Rose, anaishi na ndiko anakofanya harakati za kujitafutia kipato, akijiajiri mwenyewe…